Close sites icon close
Search form

Search for the country site.

Country profile

Country website

taarifa_kwa_vyombo_vya_habari_-_japan_na_unhcr_zatia_saini_makubaliano_ya_360000_ili_kusaidia_wakimbizi_wanaowasili_tanzania_kutoka_kongo.pdf

Serikali ya Japan na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), leo zimetia saini makubaliano mapya ya ushirikiano utakaowezesha utoaji endelevu wa huduma muhimu ikiwemo malazi, maji safi na salama, na usafi wa mazingira, kwa wakimbizi wanaoendelea kuwasili mkoani Kigoma nchini Tanzania wakitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mchango wa dola za Kimarekani 360,000 kutoka kwa Serikali na watu wa Japan utasaidia kuimarisha huduma za dharura za kuokoa maisha kwa watu wanaokimbia machafuko nchini DRC.